THIS IS A RECORD.WHAT IS GOING ON HERE?

After few threads been published on the kenyan side of kenyatalk.I decide to go on the tanzanian side.jamii forums category hapa kenyatalk to see kama bado refugee wako.Alafu nikapata hii thread.Yaani thread ikona 690 pages and people are still commenting.

Nashindwa mbona hakuna threads kenyan side.Kumbe watu walihamia huko.Mwenye anachangia kwa hio thread alete summary ya kitu inaendelea huko.Siwezi soma hizo pages zote.

Evidence ndio hii.

[ATTACH=full]183718[/ATTACH]

[ATTACH=full]183719[/ATTACH]

You have to have a lot of energy to read through all that swa. But to give you a reason for how long it is, have you ever heard a coastal complaining about a supposed transgression against her? Those guys can complain about 1 issue all the way from coast to Nairobi with no break. That’s how our dear tzedans are.

Be thinned out with yours bana @Polmos [ATTACH=full]183723[/ATTACH]

:D.It’s nothing personal. It’s just business.

Ni hiyo tu umeona ukatoa screenshot?

:D.Nikieka screenshot kubwa haitatoshea kwa thread.Na hiyo pekee ndio ya kwanza kwa hio page.By the way bado sijasoma hio thread isipokuwa hizo comment nne.

If you Keep on scrolling through Utaona kuna mwenye anatuletea mbuzi na ngombe hapo :):slight_smile:

Okay.I’ll will check.

Nani anaolewa na mtizedi

Kamukikuyu kengine hapo

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Judas!!

Hun umeona hio Ng’ombe inaitwa mututho ni msaliti pia??

Kweli sweeetie, he can’t be trusted!

690 pages? :smiley: enyewe we Kenyans are complete opposites of Wabongo. I remember a while ago @FieldMarshal CouchP had a thread that generated 100 comments that got him bragging. It was funny.
Hii inaonyesha Kenyans are naturally restless. Discussing one thing to the origin of the planet is not what we do. We move on

Please.

Iscariot

[ATTACH=full]183832[/ATTACH]

Kwani kuna ktalk ya bongo ? Au you just mean jamii forum

Angalia hapo chini.

[ATTACH=full]183919[/ATTACH]

Oh swafi sana