This guy from tiktok is so funny you should check him out

alvan love | “tutarukia hii mwaka kwa nyumba na ikona roof?”.

https://www.youtube.com/watch?v=QTvDqjAx7PQ

Si huyu ni yule mlichangia juzi.

Si ndo naona

My alpha status cannot allow me to download Tiktok. Hiyo ni ya betas na pinkies

Imenishinda kabisaa. I am usually quick to hop on any platform but TikTok imenishinda kabisaa

Kwanza Ile iingine inaaitwa instagramu ilinilemea kapsaa

Iyo pia ni ingine. I just cannot bring myself to post my pics on social media. I know some people do it for a living but me, can’t work it out.

Am there for DIYs only