The only meal wifey knows with certainty I must take in the house is breakfast.
Mwanaume gani huenda kusumbuana daily na bibi ati ooh mbona githeri leo supper, kesho mbona mchele, kesho kutwa mbona ni ugali bla bla bla.
Huyo ni mwanaume bwege.
Kula huko nje, wabebee kanyama kao ingia kwa nyumba na kulala.
Hawa watu ushinda kututishia huku ati utatombewa bibi hebu sikizeni. Kama ulioa kunguru pambana na hali yako. Mimi natake time kutafuta bibi mzuri. A God fearing, modern but reserved, well educated, crafty and compatible. Mtu najua nikiamua kusettle down hatutasumbuana. Mkamba tu ama Mtaita amecool. Mungu anijalie.
Why? Sasa ukule sukuma chafu ndio usiwe umefanya wife maid? Some things are basic - kama kukagua chakula yenye atapikia familia . how does she buy sukuma katakata na hajui hata kama ilikatwa mpaka na ma-caterpillar?
Any sane man or woman who takes their time does intimate to the beloved about hates and likes. Conversely, one should also find out about the same from the beloved.
Our OP is single na anakula kwa kibanda. And most likely,when chasing the skirt, he will take it to the kibanda,restaurants and stuff… And skirts are fast learners akiona hupendi kukula nyumbani,ole wako. She won’t start cooking coz amekuwa resident female. Infact,she will demand a few more thing in addition to not cooking…