Sema wanaume. Sasa Kuna vile nimeangukia sijui niseme jackpot. So majuzi nilipatana na mzungu flani smart sana. Age yangu tu, laptop, msafi na professional. hapana hii maneno ya octogenarian wa ujerumani ati beach boy tings.
Anyway so alikuwa Nai first time tupatane lakini juu ako kazi ameenda Nanyuki. Next anarudi ni huko mid Nov na kitu ishaivana. Kwa sababu ndume ni effort napiga gari moto hadi huko weekend kuona kutaenda aje. Shida ni anaishi kwa kambi na maneno ya hema niliwachia Baden Powell vile nilitoka scout.
Picha ndio hiyo for illustration.
[ATTACH=full]64539[/ATTACH]