I saw this phone on FB marketplace. Most info on this phone online is from Kenyan sources. It’s not even listed on GSM Arena but apparently this is the second edition after the Essence 10. Philips aren’t even mentioning it on their website.
It has a Unisoc chip though like HMD phones.
The product could be potentially a different product altogether. There is no official mention of this device on Philips’ own websites or product catalogues.
io simu ya Philips ni tofauti na ile kitu unaelezea. Hakuna company yyote ya simu inaitwa Phillips Essence 20. Hakuna company inajulikana pia enye inaown io brand inaitwa Phillips Essence 20. Haina spare parts.
Hakuna manufacturer yyote amejitokeza akasema ii brand naimiliki mimi, ama wao ndio manufacturer.
io simu haina spare parts pia.
Inapatikana tu kwa duka, na haijulikani imetoka wapi.
Ni kama ile pombe haina huuzwa enye haijatoka kwa watu wa pombe, lakini iko kwa market