The meat on bone

The meat on bone is always sweeter. Do your research
[ATTACH=full]377076[/ATTACH]
[ATTACH=full]377077[/ATTACH][ATTACH=full]377078[/ATTACH]

Mbwa unataka tukule picha umedownload

Mate imeanguka kwa screen bana at least eka location tujue tutapata wapi ii.

Hizi ni za net but pale village market wako na kama hizo but they will dent your pocket kiasi

Chakula ni kitu inaeza fanya nimwage any amount of money

Safi sana. Siezi mind kulipa 500/-

Sure. Once in a while

Hehee ati 500?

Tempting