[CENTER]UZI HUU NI MAALUMU KWA AJILI YA MASHABIKI WA MABINGWA WA MWAKA 2017/2018 (EPL)
[/CENTER]
[RIGHT][COLOR=rgb(84, 172, 210)]mnakaribishwa ndugu wadau wa michezo kwa ajili ya kuichambua timu hii usajili katika msimu mpya je watafanikiwa kutetea ubingwa n.k
[/RIGHT]
[COLOR=rgb(84, 172, 210)][COLOR=rgb(0, 0, 0)]coach-Josep “Pep” Guardiola
[COLOR=rgb(84, 172, 210)][COLOR=rgb(0, 0, 0)]much more to come…
Mabingwa wa Ligi ya Premia Manchester City wataanza msimu kwa mechi ya ugenini dhidi ya Arsenal wikendi ya 11-12 Agosti msimu mpya wa Ligi Kuu England utakapoanza.
Arsenal wataanza msimu wakiwa na meneja mpya Unai Emery aliyemrithi Arsene Wenger, Mfaransa aliyeondoka klabu hiyo baada ya kuwa kwenye usukani kwa miaka 22.
Tottenham watasafiri Newcastle kisha wacheze dhidi ya Fulham katika uwanja wa Wembley wakisubiri uwanja wao mpya unaogharimu £850m umalize kujengwa.
Manchester United watakuwa wenyeji wa Leicester City, Liverpool nao wakutane na West Ham, huku mabingwa wa Championship Wolverhampton Wanderers wakialika Everton uwanja wao wa Molineux.
Fulham waliopandishwa daraja watakuwa wenyeji wa Crystal Palace, huku Cardiff wakiwazuru Bournemouth.
Chelsea watasafri Huddersfield, Southampton wawe wenyeji wa Burnley, nao Watford wakabiliane na Brighton uwanjani Vicarage Road.