The Last Don..

Kama uko na PDF ya hii kitabu ya Mario Puzo nirushie pale inbox priss na usisahau kuweka paybill. Changaa nita nunua…

You should watch the movie. Highly recommended if you like mob movies. Also include in the list Bella Mafia.

1 Like

Don Claraccuzio.

I’ll look for the movie. I’ve been reading Mario Puzo novels but I can’t find the last don anywhere

You can’t find him coz he was the last.

He he I was thinking in greek

Wacha uchoyo sema iwekwe hapa tutarusha kakitu.

Sawa mkubwa

1 Like

@karema-hitI
Mario Puzo collection, Thank me later

2 Likes

Asanda sana, kc coconut Kesho ukinipea paybill.

2 Likes

Kwa hiyo mix ya @Tarantino nimejitolea kuongesa changaa.

Thanks man

1 Like

Swafi majamaa, Hiyo changaa ikuje ikiwa Konyagi

2 Likes

Pia kuna mbili tatu hivi za Gillan Flynn (Author of Gone Girl,Dark places etc) lakini kwanza someni hizo

2 Likes