Niliskia jusi mtu akisema they are the Illuminati agents wa Kenya. Anyway these family grabbed a lot of resources from taxpayers when most of us were still stupid. This also includes the Moi Family and Oginga Family, Currenlty it is Ruto’s family doing it. Na sasa niulise kwa upole, hii mali yote hawa watu wanapeleka wapi na yote ya dunia ni vernity ???
Vs your Family wealth ni machooozi ![]()
They own nothing. Ata jusi wamefukuzwa Makongeni
To maintain power
nowadays hakuna mazishi inapita Uhuru. zote anachanga 1 million. Ameanza kujua yote ni vanity.
Mtu akikimbiza upepo, huwa anafikiria kuna kitu anagain, lakini mwishowe akifanya mahesabu, anapata izi mashamba tulizipata hapa, mungu alitupea for free, na tutaziacha hapa, hatufai kuwaste energy mingi ku accumulate mali haina faida kwetu.