The day kamtungi happened to me

I had turned 18 na since i knew hw to drive nikaamua kwenda na kilorry ya gitonga alikua ameniajiri aka JANGO.nikaitikishwa so nikaenda squodi ya usiku…i was still naive so sikua najua vile kunaedanga.pale kwa petrol station tank ichapwa full.nikachukua tanny boi mmoja jorwa na tukaserereka naye hadi Mai Mahiu naye huku tukichapa small talk ya pale home town kule kwa kina @Tommy Lee Sparta (g-town)…tukafika kidu saa nne ivi tukaingia pale hoteli na tukaagiza…chapo ndengu na kachai ka kuteremsha chakula…so it happened wasee wa kufokera(loaders) wa mchanga hawakua but i didnt know lazima upige simu ndo wajipange since at the time hawakua wanaitikishwa kuload usiku by their chama so we had to wait until 4…i was naive at then and stil new to the outside world so singeenda kushogotha malanye wa pale.(mneck is real).so mimi nikasema tupark kwa bethi(base) yao pale sisi huwachukua ikifika morning tukuwe wa kwanza kuwachukua.sisi hao tumeshiba so option ni kulala tu…sijui niaje bt niliweza kulala pale kwa kigonyi even thou it was uncomfy(masaibu ya watu warefu).fast forward kidu 5 watu wameamkia kazi.nikawasha FSR na tukaelekea hadi Suswa…on our way nashindwa mbona gauge haiamki nikasema maybe its fucked up since izi vitu hukua unreliable so mchanga ikiloadiwa nikaamua kwenda the old fashion style… @Meria Mata @imei2012 @introvert wanajua hii maneno.nikarusha mti kwa tank na kupima dirotho…sikua naamini the stick came to the height of ile kidole cha gumba.nikarudia tena the same results…nikaanza kujicurse kwanini sikupark nilipe solja 100 bob
On our way back had to think of lies za kuambiana huku nikiomba ising’arie(kuisha mafuta) jiani…by God’s grace kufikisha murigo(load) kwa customer ikaishia hapo na kuzima.had to ring the birrionare na kumwambia vile kumeenda…he was mad yes like reali angry but uzuri sikufutwa.
So fellow truckers mostly najua mmepitia hii maneno pia…

You were very lucky walibakisha kidogo, kina @vuja de na @culture hawabakishi kitu on the A109. On top of that wanangoa computer, starter na shafts, in some towns you have to sleep under the truck to deter this thugs

:D:D:D:D:D

Kumbe hao ndo wabaya zaidi

Na zile padlock zina tumika ku fungia tanks ? .

Kwani hazitumiki?

Back then tricircle(sijui ka iko ivo) was enough
Za siku izi ni gani??sina habari

All tanks have a cork on the bottom to drain fuel in case of repairs, hio cork ya spanner no 32 ndio wamuthee hufungua wanafionza kila kitu

:D:DUmenimaliza. Nilifikiri @culture ni mtu wa facebook na machupi, kumbe yuko chonjo kwa physics ya trela pia?

Hehehe

Ushawahi skia maneno ya masterkey? Or locksmiths?

Pale mai mahiu ninoma…hata duthi wanakamua…next tym lipa soldier mia …thank mi latter

@kingolonde ndiye mwisi wa diesel

Wewe ni tires :D:D:D:D, mwenyewe akute gari juu ya mawe

weka picha ya hiyo cork mahali inakuwaga nmeendea bio spanner

kwani hakuna safe parking areas?

ingia chini ya gari hapo kwa tank, you cant miss it.

@Meria Mata hekaya ya biopsy bana iz how
Nataka kuskia what happened to the nurse na ule wa kupotea mbio

@innocent bystander ugesaka lanye ikupatiye sloopy bj usiku mzima

asuguliwe:p:p

Hiyo ni kazi ya driver ama ya kagogo?