Sisi kama chelsea…tutachukua hii ligi tena
kwanini tusichukue? tulia…
Yenyewe wachezaji WA kutajika kama nyinyi lazima mshinde…
1 Like
Upus
Upus tena sana
All the best
@culture , @gashwin Sisi Kama Chelsea Tutashinda na Tutashinda.Tutashinda tuuuu. Hata kama kina @kush yule mnono na @kid moyes wakisema upuuuus! Bus itaendelea kuroll tu tena sana.Mark you, tumefadhiliwa na tyres mpya za Yokohama!
1 Like
Bus litaishiwa na mafuta kisha magurudumu yake yaporwe.
@WuTang …Sioni that daring thief in sight so far mblo!