The Black Templar/Meria Mata/Deorro/Kimakia etc Cheki Maneno folks

Wadau I recently got into weekend bike riding and acquired one. I would like to know where I can get these patches for puncture repair. In two weeks I have had two punctures and such stuff should be DIY at home sorted kind of issues no need to look for a fundi.

Asandeni

[ATTACH=full]246044[/ATTACH]

Ukikosa itabidi u-import, naona Aliexpress zinauzwa bei ya kutupa.
But hizi patch zinakaa solution ya slay king, puncture nakumbuka ulikuwa unaeka tube mzee standby. Alafu unaikata, unaigwara na kitu ka hacksaw ikue rough kiasi, unapaka Dunlop na kufunika hiyo puncture.

Hizi vitu nunua pale kwa jamaa wa boda glue na viraka ni 150 zikienda sana

Mbicha ya chuma umenunua

Venye captain amesema hapo juu tumia another tube, sugua na hack saw it does the job perfectly. Nikiwa kipii nilikuwa najua hizi skils zote za kuunda bike

nunua kwa bike repair shop. Two punctures in two weeks ni mingi sana, i suspect your bike tyres are not original. change them also. Black mamba yangu iko na about 3 years without getting puncture na mimi huendesha kila wiki kwa chochoro za cayole

There is a bike sales shop pale sarit na pia ridgways mall( dont know if the latter is still open lakini) you should get a bunch of them like 20 in a packet huko plus a repair kit.

Ama uende kwa any shop ya boda boda and ask for them there.

Leta picha mkamba

niaje

@Purr_27 , tuma coordinates nikujie tissue paper za offer

Niko nazo

There is a component they put on the tyre zinakuwa kama tubeless.I have been running in it for the last one year.
Sikumbhki but at your free time nenda pale lavington. Place inaitwa GreenCycle,utasaidika.Damej ni 2k

Mwikali… leta qouma pole pole ishughulikiwe

I suspect you riding on old tyres. Get new tyres and new tubes usahau mambo ya puncture.
But don’t forget to buy a puncture repair kit.
Nataka picha ya cheki maneno nione kaa iko na quick release nikupe ujaja meingine

You’re being trolled by @uwesmake, don’t be slow wamatissue.

Wewe hakuna kitu hukosa. @Ice_Cube hama paipu kwenye hakuna potholes.

He

Or tafuta tube mzee the open it up on inner radius and insert the new tube ndani. You will technically have two tubes in the tyre. It works like magic…

@Ice_Cube Naona umechagua vasectomy long form.

Huyu ni uncle

Used to do this when I had a bike