Wadau jana nilimwaga chai nusu kikombe kwa laptop ikazima tu hivo nikajua baas, budget ya krismass imeharibika. Nikaitoanisha polepole nikapata motherboard inaenjoy chai huko ndani sawasawa. Nikaiwipe,na keyboard na kila kitu nikaweka separate, nikaziweka zikalala kwa mchele.
Asubuhi kuaruka, nikaunganisha kila kitu ni kama niko sure itafanya mpaka ikarudi vile ilikuwa ndio nikawasha, now am back,na buttons zote za keyboard are working ni space tu iko ngumu kidogo, maybe kamchele kamekwamwa ndani bado.
kula iyo Michele Kristi. Usiwaste.
water damages electronic equipment if it stays long enough to corrode or short ics out. if you pull power and batt early enough you can save it.
Enjoy while it lasts
Budget ya mpya ishawekwa coz sasa najua next will be finito
Mimi hutambua desktop, I only use a laptop when there is no power or I have to do something in a remote area.
sema tu unafanya marketing ya mchele vile uko nayo kwa wingi talkers wataku promote roho safi :D:D:D:D:D:D:D
Hio Keyboard haifiki 2021
Actually am informing guys about simple DIY quick home remedies to some problems
Kwani wee ni mama unakunywa chai. Mwanaume ni kukula coffee beans na kukunywa maji moto zikamix kwa tumbo
Do you carry the desktop around for presentations or workshops?
Chai?Hio keyboard haifiki February.Zitakufa buttons Moja Moja tu
Nothing serious will happen if you wiped the motherboard dry but next time take tea from a soda bottle ukitumia straw. :D:D:D:D:D
I have only one laptop that costs arms legs and neck. Chai ama maji nawekelea kwa floor.
Prevention is always better than cure. Weka liquids mbali sana na electronics ama uweke stock ya mchele karibu
Na hizo billions zote Kamwana aliwaongezea you still have to bembeleza workplace property?
Lazima motherboard ioshwe vizuri na home dry cleaner ndio solders na exposed circuits zisirust.
Last week msee alileta lappie tatu zilikunywa maji after kutoka kejani bila kufunga tap. Rust kila place, unaosha brush inageuka brown.
yangu ilimwagikiwa na adrop of water kwa screen,ikadrip mpaka chini,the screen is no longer functioning