That moment, when you realize, you are in the wrong lane.

What’s your story ?

So, jana as i was browsing tumblr, i came across, this shirt,

[MEDIA=tumblr]did=da39a3ee5e6b4b0d3255bfef95601890afd80709;id=165438801263;key=NAF3ChFMMpc4igBjc0qlhw;name=trapp-s0ul[/MEDIA]

And i was like, it will be nice to have one. I decided to look for it online. My estimate, was USD 250.00 on the highest side.
Lakini nilipigwa na butwa, twa twa twa ! ! ! Such is life though.

[ATTACH=full]129637[/ATTACH]

:eek::eek::eek::mad::mad::mad::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

https://www.buyma.us/us/items/288e28e5-fd3c-4476-a67f-86a03b2a522c

Hii inakaa zile shati muthamaki huvaa

kwani iko na nini? inajiosha kwani? ama kujipiga pasi?

ati ulikua unapanga kununua shati 25,000 kshs kwani wewe ni moi . wacha ikae .

Wacha tungoje knock off ya Mchina tununue.

Huyo mchina akipatikana, ni inbox.

That was on the highest side, bana.

You was planning to buy a shirt for 25k, right?? Right?? Issorait

tutajuaje hio sio bonoko ya kim jong un ?

Enyewe, uko na point.

What’s so special about it? Hii inakaa kitu mkamba @vuja de anaeza changamkia. Hapa vumbistan labda tuingoje kwa bale ya mtumba pale gikosh.

Eeeehhhh twedy fae thousad? :eek::eek::eek::eek::eek:

:D:D:D:D:D:D

It is not expensive IF when you wear it free pussy comes running. In that case hiyo ni investment…:smiley:

if it was $200 unge buy?

Ingia school outfitter, ninua shatibya white ya 250/- halafu enda textbook centre ununue markers poa za 750/-…then get to work.

Shati. Ngiri twendi fae? Boss which lane are you driving on?

Halafu ukakuta hautoshi mboga… For a shirt.

Shine eyes wana msemo: “Wahuna humbìra nda”

[ATTACH=full]129642[/ATTACH]
As at current exchange rates, this would be the price of the $1880 USD shirt.

Mnapenda kutupa pesa. 25K unaweza wekelea manchester united 4-0 angalua unajua hiyo pesa itarudi x3. Hii yako ni ugonjwa…:D:D:D

Ukipeleka hii China, si wanakuundia na soo?

Kuna shipping pia