Tennis odds

Kina jamaa hapa alikuwa anafanya analysis za game za tennis alafu anatuma (for lack of a better work) hio guess work hapa tunawekelea uzito pale kwa mhindi …alienda wapi huyo jamaa aleta hio guess work … kamfuko hakakai poa na nadai kuteremsha mzinga ya Gilbeys

Take it from me son In betting there are no wins. I quit betting na naskia mzuri sana

Lakini akina abisai walishinda hehehe am hio ni @MANKY business ya sportpesa na betting customers

There is a talker who posted here that betting is like 1000 peasants each contributing ksh 1000 to a millionaire daily, the millionaire then gifts one of the peasants a million shillings maybe once in 6months.

Why can’t you use your handful brain to guess too? Ama akili yako iko likizo?

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/betting-top-five-reasons-why-you-should-quit-now.90013/

Jackpot unaweza tumia mia lakini multiBets , single bet wachana nazo. Kama vile @MANKY amesema betting huwezi kua tajiri. Kenyan betting sites Ni mbaya juu hawapeangi MTU onyo ukiloose Sana. Bet365 waliniban after kuloose 50K in two months ju wako Na bank statement zako Na credit cards wanakuja vile pesa inaingilia Na kutoka after hapo nikawachana Na betting. Lakini huku Kenya utakamuliwa

And also there is a thin line between betting and suicide. Am glad hata mimi nimeacha hii kitu its better late than never

Kwa hivo wadau mmesema hii betting niachie akiba besai

True, government wanafaa waweke mpangilio ukiloose pesa flani uakula ban. Lakini watu wanatupa pesa huko

[ATTACH=full]202094[/ATTACH]
:D:D:D

I suppose uko mathare

Ni hawa wasee wananichanga