Yaani painting moja inauzwa 450 mirrion dorras? 45 birrion kenya chirrings? Kitu unaeza rusha kwa moto iishe na dakika, ile design ya kufumba kufumbua? Wacha peasants tuketi --------------------------------------->pale.
money laundering msee
Hizo ni za walami, sasa weka za Mwafrika.
Ni Picasso ama Caravaggio waliocrick?