hapa ni wapi?
[ATTACH=full]72923[/ATTACH]
17 Likes
i think nimepita hiyo place jana si ni somewhere between nakuru and kisumu???
umekosea na mbali sana
hapa ni Kisii
Kerio Valley?
1 Like
Hapa ni Ptoyo in West Pokot
1 Like
Basil?
On your way to marsabit?
Laikipia maili saba?
you are all wrong,
tembeeni Kenya jameni!
pia wewe umenoa
1 Like
Ukitoka Kisii-Kisumu Highway unaingia kwa Wakale
@Meria Mata na mimi je?
mt elgon environs
you are also wrong.
hehehe, leo hakuna mtu anapata.
nipewe momo niwape hint
inakaa kuna mtu next atatwambia Mint, au Oregano…
2 Likes
shows you how little people know of their country.
1 Like
Sio murarandia?
2 Likes
marsabit moyale road
kiganjo-nyeri road
1 Like