Tembea Kenya

Huku ni wapi?
[ATTACH=full]71511[/ATTACH] [ATTACH=full]71512[/ATTACH] [ATTACH=full]71513[/ATTACH] [ATTACH=full]71514[/ATTACH] [ATTACH=full]71515[/ATTACH] [ATTACH=full]71516[/ATTACH] [ATTACH=full]71517[/ATTACH] [ATTACH=full]71518[/ATTACH] [ATTACH=full]71519[/ATTACH]
Hint: … ama wacha tu

15 Likes

Makhokho

…ukambani!

3 Likes

aaah ni kuzurii !

4 Likes

no way, ukambani haitoshi, jaribu tena.

Tharaka Nithi County ?

2 Likes

Mt.Elgon

1 Like

mko mbali sana.
Hint: This is the highest point in coast provence
[ATTACH=full]71526[/ATTACH]

never heard of the place, iko county gani hio makhokho?

1 Like

Shimba hills

2 Likes

close but its not Shimba Hills

Saghala in Taita

3 Likes

Kwale

nyumbani Kimilili

3 Likes

Nitafte jamuhuri day, bill yote itakua yangu.

3 Likes

ni wapi Kwale kuna milima kaa hizo

Sio murarandia?

2 Likes

Mwakirunge

@Theuri wa kigogoine mkiwa na @mabenda4 njooni kidogo, need investors to bottle this water.
[ATTACH=full]71528[/ATTACH]

3 Likes

hehehehe, sio cendro. najua ni hio mbisha ya ngombe imekuconfuse

4 Likes