I miss upcountry tea. Whereby you meet with guys in town Na juu ya baridi mnaelekea hoteli Na kuagiza chai. Mkikutana Na msee wa heshima…chai. Maziwa iko poa unateremsha unachomeka koo sawasawa mkichapa Tu storo. Coast unasahau starehe kaa hizo.
na usisahau hio chai ni ya 15 bob kikombe kubwa.
Mi nitakuwa na kikombe moja ya mabati na haina handle. Mgeni akikuja, naweka chai moto kwa hiyo kikombe. Hatawahi rudi tena
Kwetu ocha chai ni 5bob, mandazi ni 5bob chapati 10 bob na kuna nusu chapati inaitwa “karara” ya 5 bob. Sijai elewa economics za hawa watu.
[ATTACH=full]11471[/ATTACH]
Na hujafika Dundori gwa Kiongo saa hiyo ambako chapo ni size ya maskio ya ndovu, andazi pengine mukatane wawili ndiyo mmalize…
we call em chapos kwetu it liech (elephant ears) juu ziko kubwa
[ATTACH=full]11472[/ATTACH]
hii[ATTACH=full]11473[/ATTACH]au hii [ATTACH=full]11474[/ATTACH]pamoja na hiyo hapo juu?
Now am hungry… Hii mahindi choma nitaipata Wapi? Aki serikali…
chunga cravings…they might send your man raving (mad)
I remember first born wetu alifanya nilishwe sukuma chemsha four months…family yetu haikutaka halufu ya kitunguu
Leo kibaridi Jo…eish. Hii si Kama pwani
That is when you become how old?
You don’t need to go to Dundori to enjoy an extra large chapati. If in Nairobi enda hapo area ya Kitindo opposite Transami, there are kambas there who make and sell more than 3000 extra large chapatis in a day.
Kwetu pia Kuna zile hoteli ukiitisha sima mbili,maini Na skuma mwenye umeambia Ana shout kwa msee wa jikoni kitu hujawahi skia…toa ugali mbili shida mingi moja moja. Na chapo Taliban hujatoa.
:D:D:D:D
nikihama from nyumba ya mabati
Hizo andazi kwetu zinaitwa “kīmūgoma”
kwani ni Kiina Golf?
Abaaaana ruti 100
understandable…culture za hizo area mbili zinaambatanaga…