TBT Taarab

Remember this one from Fedheha
.
http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/songs/T-Chura.mp3

1 Like

My favourite taarab song

https://www.youtube.com/watch?v=weJXwxw8gpE

2 Likes

I have been looking for this track since youtube started.
Remember Mama Kerekani na Mzee Mombasa?
Uko na Title ama the singer`s name?

here you go
.
WIMBO: Chura
ALBUM:
sina hakika
KUNDI:
JKT Taarab

Chura nakuulizia unipe jibu makini,
kwa kila inyapo mvua wakimbilia bwawani
Huna nguo za kufua na wala huna sabuni,
nijibu yapate tua maji utayafanyani

Chorus
Chura punguza vituko na wako uhayawani,
umezua sokomoko watu hawaeleni
Ukivunjika mgongo, dawa atakupa nani?

Mwenzenu nilikisia ni mlinzi kisimani,
mtu utamzuia maji akiyatamani
Akaja dada Rukia na ndooye mkononi,
chura ukajing`atua ukajitosa pembeni

[I]Chura punguza vituko ………………………
3.
Chura bora kuamua wende kulima shambani,
mazao kujipatia wende kuuza sokoni
Nguo kujinunulia isitiri maungoni,
au ukitaka ndoa nenda kaoe nyumbani.

Chura punguza vituko ………………………[/I]
.

5 Likes

sawa mboss, by then hii kijiji ilikua na wathii wangapi?
siuweke “rink” clickable ama unatumia kadunda?

BOSS, THANK YOU VERY MUCH, VERY MUCH:):).Been looking for it for an eternity

Asante sana Bro. I f i die today i will die happier because i finally know the lyrics to this song. Nilikua na totally different lyrics in my head for more than 20 years and finally nimeona ukweli.
Thanks alot.
You made my Day!

2 Likes

Mtu anipige intro kwa hawa momo wa taarab

hhttp://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/songs/T-Macho_Yanacheka_Moyo_Unalia.mp3

That song brings memories kibao

1 Like