TBT Osha Mecho

Panasonic AK610

image

Sharp CD SW200

image

LG MDT 354

image

SONY Man Wid Da Bass

image

2 Likes

nilishika hio panasonic na loan ya helb ikaibiwa banae.waliniachia ka speaker ka moja.

4 Likes

Lakini hiyo SONY ya last ilikuwa mabo mbaya.

Kuna siku nilienda hapo Kimathi miaka za 2004 St next to Joker’s Casino kulikwa na SONY Shop wakasema hawawezi test hiyo kitu ikiwa kwa shelf coz kuna hatari itabomoa hizo glass shelves ilete hasara. Kitu kuwekwa kwa floor inaangusha Bass Clef ingine hata tourists wakitombana hapo Stanely Hotel wakapatwa na panic wakashindwa kumwaga. Bass yake ilikuwa kichaa, Low frequency wazimu.

Cooling System yake ni Fans zinapilza Heat Sinks size ya Thermos kwa Main Unit na ingine kwa Main Woofer

3 Likes

kuna shop kwa backstreet yenye ina run parallel na Luthuli Avenue naona bado zina uzwa

1 Like