Just chillin listening to my 1975 Philips Turntable[ATTACH=full]87885[/ATTACH] [ATTACH=full]87886[/ATTACH] [ATTACH=full]87887[/ATTACH] [ATTACH=full]87888[/ATTACH] … But the stylus is so worn out tiny marks just turn into bumps… But haidhuru… It just rekindles old memories…
And no, am not as old as @gashwin , i got it from my dad 15 years ago…
Hizo vitu hatukuzipata tunaweza taka kuona vile zinakaa
Watoto wakiiona wanasema aje
Be serious!
Niliona kunazo zinauzwa pale Melodica stores Tom mboya…pitia hapo uzicheki
They are still too young to comprehend. But najua as time goes ndio maswali zitaanza…
Be sure they dont break it apart
Lazima nijenge glass display kwa shelf yake ndio wasibomoe…
Sijawahi iona kwa karibu
The music from these vinyl records was superb when playing using a new stylus cause it was uncompressed compared to modern digital discs where music is usually highly Compressed
Diggin into the crates!!
Hizo enzi hakuwa na fake vinyls kwanzia casettes na CD’s kupata original ilikiwa shida.
Halafu mupromote huyu muyamaa
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/the-vinyl-man-of-kenyatta-market.36870/
Napenda the scraching low sound ikianza especially kama ni soul
Huyu muyamaa lazima nimtembelee nione ana gani niongeze kwa stock yangu…
Kabisa! Na zile za kina Boney M - Rasputin… My favorite
Umepiga picha vizuri huja capture kitu ingine isitumiwe kama evidence against you
:D:D
Umesahau mimi ni member Ktalk CSI… Lazimaaa
An Exhibition, perhaps?