TBT: MASAIBU YA VCR

Back in the day when a ngwati vid was on VCR and a whole estate of horny teens relied on one tape sourced more often than not by the neighborhood bad boy called Onyi I found myself in a bind that instantly made me an electronics expert. Hizi ni zile enzi keja ilikuwa na wall unit yenye iko na locks mzazi ana fungia telly na Vcr ndio msiwaste stima na pale kando zile simu za circular dial imetingwa ka tri-circle padlock usichome pesa kupigia mabeshte watambue mna simu na hamuendagi telephone bureau. Where there is a will there is a way. Hiyo wall unit tayari tulikuwa tumeichangamkia na tumeunda spare key ni kujipanga tuifunge kitu 4.30 kabla wazazi waingie. Onyi pale amesource ngwati flani hata ka ilikuwa in German hatukujali. Wacha mafala tumeanza kuona hiyo kitu lights zikapotea. Ferk! Wanaume wakajitoa tumebaki pale na bro. Halafu hiyo time the old man alikuwa amediscover anaezarecord upus ka news. Hiyo kitu haingetoka huko ndani ni ngwati angeona first thing angeingia kwa keja na violence ndo ingetupata. Bro alianza kuongea stori ati tuzurure na hiyo vcr tukitafuta stima hata ka ni tao ingebidi. Nikamshow hapo hatuna tym. Nilifungua tape nikang’oa ka nimecross fingers sijaharibu hiyo Hitachi. Hakuna siku tulikubali ngwati ionwe kejani mchana after that.

10 Likes

Hehe.happened to me once.luckily the elec came back just as mzae was closing the gate…but I still never learned my lesson ku fapp iliendelea Kama kawa

We were not that privileged but the imagery is clear. Neighbors used to have vcr, wooden color tvs and landlines.

P. S There was a way to chuck the tape bila spoiling anything if I remember.

Hehehe kwa wasap tuna msemo ’ ruri itara ruthekaga rui riko’
Rougly translated it says the firewood in the store is laughing at the one in the fire.
I foresee 20 yrs from now you son writting the same akisema that time my dad had discovered upus ya ktalk.

5 Likes

Mimi cuzo wangu manzi aliniita siku moja nimsaidie kufix vcr, kumbe ni tape ya ngwati ilikua imekwama nilishtuka, nikasaidia tu siku ilia maneno FFWD some months later alikua amedungwa ball.

The beauty of life. Kuna vitu mjunior hufanya kejani unaskia kumkemea unakumbuka you did the same or even worse at his age.

1 Like

Pole kwa masaibu ya kuachwa na wenzio bt uliepuka noma.

I was an expert at calling using a locked landline phone and public booths.

ha ha… stima ilikuainakatsia sana… but then again io tym kplc ilikua na blackouts mwenda na za odd timing

please credit source, hii mini-hekaya ilipenwa kitambo hukoooo, sex.co.ke, kata sio kenya4 ama kenyanlist… almost word for word.

Mimi stima zilipotea and when i was thea wondering what to do dad akaingia. wahh sema stima kurudi at the exact moment. vcr inaanza zile makelele za loading. Sema dad kuuliza ni muvi gani. before imalize loading na awashe tv nikapata very brilliant idea. I made a mad dash towards meter box huko inje and switched off everything. Mzae thought ni blackout ingine akafikiria kwenda choo. Kabla atoke stima ilikua imerudi na tape ingine ya replacement ilikua loading.

5 Likes

In my case,I had sourced Ngwati alone then i decided to watch it one afternoon.That was after class eight exam unaachwa home solo.
Kumbe masaa za mother za kutoka wira zilikuwa zimefika maze,Alikuja kama amefungua mlango pap,sema kijana kukutiliwa.
Kama ushawai tafuta power button kwa remote ukakosa kisha unarukia TV ukijaribu kuizimia huko wacha tu.
Alipoingia bed room nilichomoa ile cassette na kuchomoka came back at night.
By i know she saw it all.

1 Like

Sema peroz walikuwa peasants tu

2 Likes

:D:D:D…na vile amepata likes ka zote

Source: www.kicheche.com
Ka una ingine leta hapa tuone.

peasants everywhere:D:D:D @homowebdev

1 Like

:D:D:D

That’s why we need a dislike button.

If it’s plagiarised from another site or its a recycle after over 6 months then that’s perfectly acceptable.