TBT Home theatre

Ukiwa na hi setup kwa keja ulikuanga the shyyt.

[ATTACH=full]339806[/ATTACH]

Kama hunge afford cassette legit pale Moi avenue, ulikua unafika luthuli unachukua moja blank then unategea Saturday night show ya John Karani Kbc juu that was the only local channel, unafinya record.

After sometime kina Metro Fm zikaingia jiji but ubaya ungepata wale dj wa kuongea ongea saa ya ngoma so kurecord song ilikua hit miss affair.

@Jimit kama coolkid anadhani ii ni uganga inendelea apa.
Kid, ever heard of Ntombi Marhumbini?

Fadhela usinichafulie CV. This is what I grew up on and yes, I know what Ntombi Marhumbini is. Some sort of South African song that I used to listen to on a Kalenjin radio program called Soweto or something of the sort

Haha yaa naona uliattend disco matanga

Wewe ni kalejinga ama ni Jaruo?

You’ll never know

…ngoma za ntombi tulizienda mbaya mbovu… @Jimit ati anadai Ni uganga

Ni mteso

I had this one, hapo kwa battery nilikuwa nafunga dry cells zile nimeokota juu singe afford new one. Kuna wakati I used to boil dry cells kwa nyungu, nazifunga na juala na boil na inacharge.

T

This was the real deal back then mpaka kadem kakitumbelea kanakatalia kwako