TBT: Happy ending after a long struggle

Greatest Hekaya Of All Time (GHOAT): Going through a couple of masterpiece from the past, I came across this hekaya and it just lit my morning. Where did some of these legends disappear to?

Below courtesy: @kush yule mnono …

While nikiwa mtaani sometime back kuna kadem nilikuwa nimenoki mbaya but kalikuwa na maringo mob tu sana. I remember I tried some petty conversation nayeye lakini hakunipea chance. So one day nikamshow hizi vitu unanidondosea utakuja nitafuta nizikague. Trust me it dint take long before the opportunity came looking for me though ilihappen in an unfortunate circumstance.

So this day am waiting for a mat at Adams arcade heading home and I notice the same gal coming towards the bus stop. As always nikarusha salaams na akalenga ka kawaida. Sio siri hii ilinishikisha nare but nikajiambia ni sawa tu, si lazima. Shida ni hio design alinipiga sweep na macho toka juu mpaka chini na ile madharau na akaenda kusimama ile mwisho ingine ya stage.

Earlier on nilikuwa tao nikabuy phone mpya, a Nokia 5300 express music after kuchanga for sometime and so I get busy on my phone nacheza na settings nikitegea nganya ifike nishuke mtaani. I kept on glancing at this nyap while plan mob kumhusu zikiendelea kwa kichwa.

Mat ikafika nikadandia na ule dem pia akapanda. She got a window seat right across from where I was seated next to this smartly dressed mujamaa and after a short while I lost interest in him and continued playing with my phone if only to attract the attention of this girl being that by then that phone with its distinct red and white color and the sliding screen was the in-thing. I somehow got her attention or so I thought as she kept glancing my way.

The dude sitting next to me kept shining his eyes on my phone lustfully and even had the privilege to ask at what price I had bought it for. I dint give it much of a thought.

On reaching Nakumatt junction two passengers alighted hapo kwa stage and two more boarded and instead of the driver making the usual turn towards Naivasha road he continues driving towards Ngong tukashindwa kunaendaje and before anyone knew wagwaan, dere was instructed not to stop and keep driving as per instruction ya hijacker number one pale mbele. Kale kamsupa kutoa ngemi akaonyeshwa mguu ya kuku akatulia.

Kupita tu reli hivi hapo kwa ka.barabara ka kuingia show ground action ikaanza vizuri. Hijacker number two akaamka na bag, akadai kila mtu aweke mali yote hapo ndani. Mimi na ufala yangu nikaficha fone kwa cover ya seat ile ilikuwa mbele yangu ilikuwa imeraruka kiasi halafu nikachanua huyo mboyz alikuwa ameketi next na mimi pia aweke yake. Kumbe alikuwa ni mmoja wao na sina copy. Kijana akaplay cool akiniambia yeye hana phone haina wass. Nakumbuka I only had 50 bob when I boarded na tayari I had paid fare ya 30 bob nikarudishiwa change ya 20 bob. Kufikiwa nikaweka hio mbao, huyo jangili akanicheki mbaya akatulia kumbe alipewa signal. Huyu mboyz kando yangu kwanza akadai nitoe phone kwa hio store nimeiweka nimpatie. Nikajua noma imeisha kumbe hio ilikuwa ni news bulletin.

Kufika hio turning ya kuingia ki Lenana school before kuanza kuteremka kuelekea Karen dere akaambiwa aingie kwa kachuom hapo kando. Hapo tukapelekwa kwa ka forest na hapo mbele. Kuingizwa huko ndani kabisa ndo nikajua kumbe hawa majamaa walikuwa wengi. Dere kwanza akashukishwa na vita akaambiwa alale chini na aweke mikono mahali inaonekana.

Sasa ikakuwa kwanzia kwa mlango mmoja mmoja unatoa nguo zote unashuka chini. Wakafikia kadem ikakuwa avue kila kitu. Ok as much as alikuwa amenikatsia I felt hio haikuwa ungwana. Sio siri alikuwa ni msupa ameivaa vishenzi, jinaka imehug matter.core na mathighs vipoa alafu kifua si zile za ki xvideos sana na pia si ndogo vile but zimejaza hio top yake vpoa. Kwanza akatoa top na kufungua bra akaziweka kwa kiti. Next akatoa trao pia nikama anajiandaa kukamuliwa akaweka hapo akabakia na g string ule mboy pale kwa mlango akamwambia ashuke. Kufika kwa mlango akasimamishwa na mboyz akaanza kumdara. For a moment nilisahau noma tulikuwa ndani yake nikaambia huyo boy asijaribu hio ufala, huyo ni sista yangu. Hio ikawa ni noma, dem akawekwa pending nikaambiwo nisonge hapo kwa mlango nivue nguo zangu. Juu ya kiherehere wanataka nikule huyo ‘sista’ yangu wakiona ili iwe funzo nisiwai ingilia kazi ya wenyewe.

Hehe … chance ya kula mtu ikajipa but I was not ready to take advantage of this innocent girl though alikuwa amenijamisha.

Kufika kwa mlango nikavua trao na top nikabaki na boxer nikasema hio siwes toa hata na dawa and that earned me a beating. Nili serviwa kama volleyball kutoka kwa mlango ya mathree hadi chini. You can imagine the impact vyenye nililand. Kufika chini nikaokotwa na ma blow. Dem akashukishwa tukashikiwa gun ati tuanze kurombosana. She was ready to go the whole nine yard just to save her skin while mimi mzee ojwang alikataa kuchangamka. I ended up kumlalia bila kufanya anything. I must say hawa watu walikuwa either armateus or the guns were not real coz all this while hakuna gun hata moja ili corkiwa.

Nikaambiwa nismame nishike rangi (kwa wale wa.slow hio ni kuinua mkono na kushikilia body ya gari). Kushika rangi hivi, nikaskia ule mboyz tulikuwa tumeketi naye akisema huyo mnono ako na ujinga mob kwanza mpe ya kilo. Before nijue ya kilo ndo gani hiyo, nikaskia nimepigwa kahasho moja mpaka nikakohoa. Nikaulizwa na hio uzito yote ni 20 bob tu ndo nimebeba na sahio nko na phone ya kitu thao 10 na upus.

Kumaliziwa nikaambiwa niketi pale kando. Yenyewe nilishindwa hawa mafala wamenichukulia aje. Sasa kulikuwa na hijacker number four, ka kijana kadogo ka feather weight hivi kamebeba pistol ati ndo kameshika guard hapo chini wale wengine wakipiga tero nguo na bags ndani ya gari.

Vyenye tu kaligeuza mgongo hivi wazimu ikaniingia nikamrukia na kumpiga ngeta. Nilii squeeze hio shingo before hao wengine wajue nini inaendelea mujamaa alikuwa ashakodoa macho. Yenyewe kuna wanaume walifaa wazaliwe na nyap, all this while hakuna hata mmoja alikuja kunipatia support. Wale wengine kuona hivo wakashuka. Ile shughuli nilipewa sijawai ona maishani mwangu. Wamama walipiga nduru nikaona majambazi wameingizia.

Wakatoka mbio na bag mbili wakirudi side za barabara tukawachwa hapo. Kidogo tukasikia marisasi, kumbe walikutana na makarao wako patrol wakaangushwa watatu na wawili wakadandiwa. Gun walikuwa nazo zikapatikana ni fake na ile ya ukweli haikuwa na risasi. Hao wawili walileta makarao hadi mahali tulikuwa, mi kuona ule mboy alinipatia ya kilo nikampatia reply ya kilo mbili hata makarao wakashtuka.

Hapo nikashangaa ati kumbe hata kadem kalikuwa kananijua jina, niliskia tu akidai ‘Kush tuliza hasira bana’ sahizo ananivuta side yake. Hapo nikajua kuna vile maybe ameamua kunifeel after all she was ready to receive the stroke of the stick sazile tulilazimishwa.

Ikawa wote tuende Karen polis kuandika ripot. After some hours we were done and now was time kila mtu aende kwao. Same ma3 ilitupeleka mpaka mtaani. Kufika mtaani nilimpeleka kwa singo room yangu. Alidai anaskia uoga kuenda kwake alone na saidi ya hayo bado alikuwa ameshtuka after that ordeal. Funny how that incident brought us together but that was not important at that point in time. Finally my prophecy came to pass. My ‘kitchen’ became alive for once, kamsosi kakapikwa tukasosi and ofcourse nikapewa thanks plus pole for masaibu yangu pale kwa forest by kuwekwa ndani ya the natural forest (Yes huyu mdem na venye alikuwa msupa kuruka hakuwa amenyowa fudhi). This time round nilikula bila huruma and that was the start of a very long relationship. Too bad I had to break up after kuja gulf, long distance relationship haingewesa make.

Kama tuliona, usiirudie. Hatukuli matapiko!

Ile ya paka ilifungwa moto kwa mkia ndo hunimaliza hadi leo

Nipe link tafasali

Weka wrink plis mdau,hizi hekaya TBT mingi zilinipita

Jamaa alichoma slum yote juu ya matumbo

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/the-day-i-burnt-down-the-buloti.11715/

Manze @Kush alienda wapi?The Kuna hii kunguru ya @Meria Mata @Pseudonym!Those hekayas were on another level!

I always speak for myself

Walienda kijiji ya wazae

Kush kanono hekayas were on another level

anajiita @Uncle Thio

me kuna msee alikua anaitwa @Amore huyo alikua ananivunja mbavu

Kijiji ya wazee wapi link