#TBT enzi "J "alikuwa anaenda reggae na maboyz wanachips funga

Ka-Sato kedo 5pm Jay na maboy wako kwa keja ya Boy anaitwa Deluxe. Tulisha changa pesa ya pombe Kenyacane…ma soda mezani. Watu wanakula miraa. Ka-reggae kanacheza background mdogomdogo…wacha niwapatie picha ndo mGet the pic alafu niendele na storo
[ATTACH=full]22333[/ATTACH]
Ehh mmepata sasa…ehe…tutawasha hadi kitu 11pm…stock ikikwisha kulikuwa boy anaitwa Roccos…huyo alikuwakama messenger wetu…anatumwa alete stocko…kitu midnight walevi wanajitoa …Destination Holly Mbao (Hollywood)…Rende ya mtu kama 15. Buda ole kwako ukipatana na sisi kwa njia ma sweeps na slaps ndo utapata. FFWD mlangoni ya Holly…tunashow bouncer since tumekuja kerende lazima wawili waingie saree. Na since DJ Patti (RIP) alikuwa wa mtaa yetu (Parkie) inabidii wanatii.

Sisi ndane…aaaaaaah Dj Patty ashaona maboy wake…yeye fasta fasta kwa mic anaanza kutupa ma shout out unaskia amesema a spesho dedication to a man named Jay Kalonje(uyu ni mimi sasa) outta parklands massive. Nainua mkono moja juu ndo ma hunniez wa reggae wanitambue. U see dream wa ma hunniez wa reggae ilikuwaniku chips fungwad na maboy wa parkie juu wao ni eastlando material.

Tunacheza reggae tunabambika hadi chee kitu 6am kila boy or at least wengiwetu wanatoka na chips funga…since mimi bado nilikua naishi na peroz nilikuwa napeleka chipsfunga wangu kwa keja ya deluxe,Deluxe pia yeye amevukisha…since alikuwa na bed moja…ananirusha mattress chini ananishow jay dinyania hapo while yeye anadinyana kwa bediko. Tunaweka reggae music Greogory Isaacs inacheza while we fuckem ladies…those were the days
[ATTACH=full]22334[/ATTACH]

4 Likes

Hiyo soda ya club bitter lemon imetoka juzi. So your story ni hogwash

7 Likes

Your sins have been forgiven.

ushaiskia kitu inaitwa exampo

1 Like

those boobs… hope that is not a push up bra

1 Like

There is no way a chic those days would have a heineken top either

2 Likes

Jay hunibamba:D:D:D:D:D… #nohomo

1 Like

@Jirani I thought you live in the land of the Deustchmark…how come una pikcha za clubsoda? I do not understand…

hizi nakamua bila Arimis…

jirani ni chokosh wa kawaida

Kuna kitu inaitwa throw back. Budah deutschmark…seriouly??

Mbwa wewe

kwani shemale wako @Nefertities alienda kukamuliwa wapi?

Dame akikutaa after several attempts please learn to accept n move on. Let it go. Akutaki chokosh…i know it hurts bt its the truth. Time is a healer ama vuta glue

Sijaona hekaya hapo…mijinga.

Thanks atleast nimejua leo kanakuaga na club soda ya litre…

…na bra za Heineken.

1 Like

He he, his tales are long but they always crack me up.
Dude got good imagination.

3 Likes

@Jirani if you talking of patty ranks, you should know rubber johhny mc na baadae izzo. Huyo izzo alkua anamixx patty akichoka, alkua anatukindia weed. Was young then, Hollywood ilkua mababi kutambua reggae. Memories.

P. S Heineken haikuwa :D:D. Hiyo mbisha si ya teneh.

@Jirani ,mbona hao maarif wako wana majina kama za mapornstar ama mastripper, mara Deluxe,mwingine Roccos.natarajia wabaya wawe na majina sugu pia kama Omosh Madent,Jemo Mafegi,Kevo Maparaa etc…just thinking out loud:rolleyes::rolleyes:

1 Like

Jay,naona unatukulia vako hapa.
Hizi ni zile story bro wako mbig alikuwa anakuchapia.
Wasee wengi hapa hawamesei hii maskan.
Kama ulienda reggae brilliant hotel mkono juu.

Jeri tulikuwa tunaenda Acacia Place

1 Like