TBT Census edition

Welcome to TBT sensas edishen, leo tunaanza na London beat, hii ngoma hunikumbusha Mad house na F2.

https://www.youtube.com/watch?v=dGw3w_njQ4g

https://www.youtube.com/watch?v=sjGl-pq4RxQ

https://www.youtube.com/watch?v=1nw-V5eEeAk

https://www.youtube.com/watch?v=ZbUENJ5FjBk

Join me on a journey down memory lane

Good old Mad house.
Only fossils can relate.
[ATTACH=full]256995[/ATTACH]
hii mbisha inauma sana
[ATTACH=full]256997[/ATTACH]

niliachanga landlord wamezushiana na mwenye club hadi kotini…hii ndio place ilikuwa landmark ya kujua niko k street.Ata ile ngoma ya “pesa zina mwisho…zina mwisho”,that song had this line:“ukitakaaa,wanawake,anakimbia florida aniletea”…years on i came to realize ilikuwa iyo florida inaimbiwa

funny how maddy ilikaa ndogo ikibomolewa but ukiingia it’s a different world.the only place ulieza kunywa pombe na maliar bila kusumbuana,kama unataka ikus unasema na mnamalizana.
if only it was possible wangefanya kama majuu,unahamisha building especially if its iconic
[ATTACH=full]257026[/ATTACH]https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSrhBbvp-Pi_Cj70fLjka3SA-0Imc5X70WZCv__NgtV_mRQKc27Eg[ATTACH=full]257027[/ATTACH]

Mad house was my base banae. There many a time we were thrown out na bouncers :D:D

You forgot this one

https://www.youtube.com/watch?v=GfxvsHpTZWk

Hehehe, nakumbuka hapo tukiswaga mizinga Johny Walker time flani, hizo stairs vile zilikua si nili slide kuanguka na ku roll man, sijui venye nilifika chini but nilitoshea nikiroll mpaka down, bado hiyo ndo siku nilipoitisha dem supu ikus, aliniambia ni 4000 without blinking, nikamjibu kwani ni mbuzi na nunua, akashuka 3000 but bado, eish

naona hiyo bei ya mafuta hapo total… oh Kibaki wherefore art thou?

hehe…itabidi ukubali iyo bei pia ni part ya tbt

nyinyi ni wale hamutaki fair game,umekalisha dame na beer moja since 10pm saa hio ni 12:30 am,jamaa ananotice anatuma waiter but wewe ni vita unaleta na dame ni mali ya umma.Vita zote zilikua btwn machali ju ya dame ama chali ameita dame maliar,well ofcourse ni maliar,but still

Guuuud music…cc@Liberty. [SIZE=1] I have not forgotten that I promised you the 80’s collection.[/SIZE]