Tbt 50 cent G unit era - Wangapi walivaa hizi nguo

Wajinga nyinyi kama hawa bongolala wa zanzibar

7 Likes

Bado @Jack_Black huvaa ivo

6 Likes

@Jack_Black huwa ni yoh, huongea kizungu kama mnigger pale yues, shida ni accent yake ya kiluhya… huwa anaongea kama ameweka mdomo kwa side moja. Alafu pia huwa anatumia mikono nka ana rap.. ushago anatesa kina nafula na naliaka mbaya sana. Bado ana sag jeans.

Rap Horse GIF by EMPIRE

5 Likes

Unaongea mjngi hapa na tunajua umevaa durag, dirty tee, jeans za Savco na simbaland boots.

3 Likes

Mimi huvaa traki sana.. jeans nina moja na nikivaa naskianga nka nmevalia koti…

Pia mimi napenda Adidas, but kuna hii label inaitwa Boy London that has the most incredible logo of all time.. wangapi wameona?

1 Like

Jeans zilinitoka

Na hizi?

4 Likes

Zi hio kitu sijai vaa.. mimi nmekuwa brought kwa ghetto tunatambua urasta.. unatty.