Mbunge wa Korogwe Steven Ngonyani amefariki 02/07/2018 usiku katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa anatibiwa.
Profesa maji marefu,mzee wa ndumba a.k.a sayansi ya asili,utamaduni wa mwafrika.poleni familia,ccm,simba s/c(technical bench) kwa kuondokewa na mpendwa. Awekwe anapostahili.
Hivi alikuwa anaumwa nini? Mkewe kafa tarehe 6/6/2018. Yeye sasa , Korogwe kwake niliwahi kumfanyia kazi…
rest in peace
R.I.P prof… kwel dunian tunapita!
[ATTACH=full]181147[/ATTACH]
Mungu amuweke anapostahili, alimdharilisha sana babu yangu kijijini kwetu, basi tu mambo mengine ni kumwachia Muumba ahukumu.
Ma professor wa UDSM hawa kwenda Karimjee kumuaga meenzao!
Picheee Pucheeeee puuuuuuuuuu…!!!