Tanzania: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi safari za majaribio ya treni ya umeme kati ya Dar es Salaam na Morogoro

DAR ES SALAAM: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi safari za majaribio ya treni ya umeme kati ya Dar es Salaam na Morogoro ikiwa ni miezi michache tangu agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kutaka treni hiyo kuanza safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma mwezi Julai mwaka huu.

https://x.com/MsigwaGerson/status/1761832724371743098?s=20

1 Like

Tukubali kama Wakenya tulibebwa ufala na hii SGR yetu juu General Electric walisema they can build it for less than half the amount gava ikakataa. Why? All projects have to be done twice. Wajenge SGR kwanza then later utaskia they want to upgrade it to electric wakulie tena.

2 Likes

Mko na bahati you have decent leadership.

Huku ni kilio tu!