Tunaendelea kuionesha dunia kuwa tupo mbele. Tupo tayari sasa kuibeba dunia mabegani.
Nilikuambia wewe ni dalali wa Tigo
Mtaendelea na mambo yenu cheap huku Watanzania wanaendelea kuwika kwenye international arena.
Tanzania inarudisha heshima yake Kimataifa.
Wetangula could never make it here. Yeye ameshikilia ushamba
Sijakuelewa
Wetangula ni spika wa bunge la washamba kenya
Nilikuwa sijui. Dah!! angeweza kweli kupangua hoja za hawa wazungu wabaguzi?
Ebu wika tukusikie Jinga Jinga Duanzi!!!
Tanzania hatuna time na mambo ya kipumbavu
Huyo mda hatuna kabisa
Mtajijua wenyewe. Maadamu tunajua nyie ni primitive inatosha
Mzee mtanzania naona wapenda kinaya sana
primitive meaning primitive meaning - Google Search
Kulingana na kamusi ya oxford, kati ya Kenya na Tanzania, Tanzania na watanzia ni primitive kwa mambo kama viwanda, soshiolojia na kadhalika. Ndio maana mazao yenu mnangangana kuyaleta huku kuliko viwanda
As long as I know kuwa kenya mnakufa kwa njaa, inatosha. Mengine nenda kamwambie Mama Ngina
Baadhi ya wakenya wananuna.
Its sad that we are celebrating her for saying we are not colonized in the mind.
The truth is that we are ALL still mentally colonized and its one of our biggest problems.