Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava na wenzake wakiwemo Ndugu Makwaya Joseph Makwaya na Ndugu Nussaibat Ahmed wamempongeza mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Njombe Ndugu Samwel Mgaya kwa kuwa mzalendo haswa kwani ndio Mwenyekiti wa UVCCM Pekee mpaka Sasa Mikoa wa 13 aliyeshiriki na sisi kuukimbiza Mwenge Mkoa Mzima yaani Halmashauri Kwa Halmashauri ndani ya mkoa hadi unakabidhiwa salama Mkoa Mwingine ameonyesha uzalendo sana na ametutia moyo na nguvu haswaa na ni mfano wa kuigwa kwa wengine
Kauli hiyo wameitoa katika kijiji cha Nyigo wilayani Mufindi wakati wa makabidhiano ya mwenge wa uhuru toka mkoa wa Njombe kwenda Iringa.
Instead of focusing on learning, you continue your ignorance of insulting people on Social Media. The world is now one village, stop digging your head in the sand. Wake up, stop being careless