Ni @culture alikataa kulipa ama ilikuwa nani?Seems like this time amepata mbaya :D:D:D:D
kabla toni kroos afunge bao ya pili
Wanasija
When KANU was the ruling party
wacha tu niache
kabla keizuke honda amalize Senegal…
Kabla The Ark ijengwe…
kabla lenny areverse mpesa ya kubuy p2
When airtel was Kencell
Uko nyuma sana
Baba akiwa NASA
kabla zile tv za HITACHI FUJIAN hazijatengenezwa
vle battallion wamesema
hii kitu ya last decade unapost saa hii? meff
B4 Kabura awe hairdresser
kabla lenny ale lanye.
[ATTACH=full]179605[/ATTACH]
Jogoo ya KANU ikiwa bado tagwa.
Ile time Sudi alikuwa anajaza Tornado pale Eldoret.