Hii ni kwa Villegers wote ambao hatuna uelewa wa it na wanahisi michango Yao na post Zao wenye mamlaka hawapendi kusikia au kuzisoma
Kama tunavyojua teknolojia kwa wenzetu imekuwa ushetani ndo maana wakaomba Maraika toka juu washuke kuja kufungia mitandao, ni hivi juzi tumeshuhudia Ombi likijibiwa kwa namna ya pekee mpka sasa tupo uhamishoni.
[B] Mambo ya kujiuliza
[/B]Usalama wetu upoje huku ugenini?
Je adui yetu ameridhika na hatua tulizo zichukua ili kujikomboa?
Adui zetkiteknolojiawamejipangaje 4. Nini cha kufanya ili uwe salama?
Hivyo basi lengo si kujibu maswali yaliopo hapo juu kama wengi mlivyotarajia ila ntajikita katika jambo moja tu, Kwani yapo mengi ya kufanya ili kujilinda ila tuanze na hili Leo.
Kwa kipindi chote ambacho tupo huku ugenini ni vyema tukachukua tahadhari popote pale uwapo. Kumbuka kuunitick pindi unapo sign in pia usisave password kwenye browser unayoitumia, hii itakusaidia pindi ukikutana na wasiojulikana na wakachukua simu yako na kuipigakuisearch.
Nibora ukatunza password na username yako kichwani kuliko kuiacha ikwa inainasign automatically.
Nawasilisha.
NICE SANA ila kikubwa ni kutumia hii browser inaitwa tor…unaweza kuidownload hapa tor hii unaweza kuset ukawa hutambuliki ulipo na huwa inajisign out yenyewe kwenye mitandao utakayoingia
Kumbuka ni siasa imekufanya sasa unaandika mawazo yako ukiwa ugenini siasa hihi itakufanya siku moja ushindwe mahali pa kugegedea mkuu
Hakuna aliye salama.
Ngono ya vyuma vikiwa vimekaza huku ukiwa hauna uhuru kama vile uko ndani ya Serikali ya makaburu wa Afrika Kusini hata utamu unakuwa kiduchu si ule utamu halisi wa kusisimua hadi kichogo.