[ATTACH]175754[/ATTACH]
Uoga kama huu ndiyo unaowafanya watawala wawaonee na kuwakandamiza. Get rid of these rotten minds then u will be free. Yaani in short watiz hatujiwezi coz of woga na kuwatisha wengine.
Be positive minded
Hata mimi nimeliona hilo tuwe makini mno
Duuh
Mdomo wangu umebaki wazi aiseee. Lol
Jf wanatapa tapa tu wanaogopa kupoteza wateja wao ndio wanatupiga pin kwa vitisho, acha tuitafute furaha popote ilipo mpaka pale watakapoamua kurudi
Usiogope hii ni vita ya kutugombania
hahahahaaaa
Mpaka sasa bado unashangaa?
Hahaaa. Mshangao ushaisha Sesten
Hahahahaaaaa, hapo sawa
Tutaendelea kupopoa tu hiyo govt ya 255