Tafadhali let's agree

Yo! I think we should agree on this as guys.
Ukiingia kwa mat yenye haijajaa na iko na viti extra. Please don’t sit next to a guy, tafuta kiti yako nahuko bana! not unless you are in a hurry ama ur the last one kuingia.

2 Likes

kwani umedarwa?

1 Like

kwani uliwacha bike wapi??..

1 Like

Hehehe i find that akward…another case ni mmekaa wawili na hapo mbele mtu ashuke…are you allowed or supposed to move to the new seat? Ukitoka labda mwenzako ataona ni kama haukua comfortable ama iko kitu mbaya na yeye especially ka ni dame…i find these situations akward.

He saw a fly chic boarding the mat behind a jamaa…caught her eye n secretly hoped she’ll sit next to him only for the jamaa to end up sitting next to him…true pussy blocker

5 Likes

Hii ndio ujinga hatutaki hapa, si ungemuambia hapo kwa hapo kama hio bus ni ya mamako,

I hate it when that happens…

Kuna mrembo alikuwa akae na mimi lakini huyu jamaa bana akachange mind akaketi kando yangu. So am now staring at this beautiful lady mbele yangu and that’s as close as I get. …

1 Like

Nitawapostia checki maneno soon :slight_smile: najua nilihata hii wkend

1 Like

That’s exactly what happened

Those are the real terrorists IMO

1 Like

Angalia mfuko yako poa. Kila kitu iko check? Akili yako ikiwa kwa dem, pengine Kuna ule alipata supper na wewe

Nko radar buda

1 Like

THE RARE TIMES I PANDA A MAT MI HUTAFUTA DAME MREMBO NIKAE NA YEYE

1 Like

Hatuta choka kuhimiza umuhimu wa picha,video,skechi ama mashahidi katika hadithi hizi.
Kulingana na kanauni na masharti yaliyoafikiwa na wanachama,wakurugenzi,wanakamati na wasajili wa KTalk,tutahitaji kuona angalau picha ya “jamaa” ama “mrembo” ili kutuwezesha kudhahirisha kisa na mkasa huu uliokuadimu katika masafara yako kwenye magari ya uma.

3 Likes

Uncle siku hizi train ni cheap?

1 Like

back in the day nilikua mwanabiashara wa maembe dodo from hola…sheria ilikuwa ukiingia basi na hakuna walalo, shuka, hiyo mashifta wamebook…lakini picha sina za kudhibitisha

Si unajua mimi ni msee wa evidence lakini leo hakukua na haja ya kuchoma picha nikipiga mrembo picha

rare times ni end month other time ni kutembea kaguu mpaka kayole

2 Likes

wacha kuchoma picha peke yake ungeshikwa ukimpiga pic ungechomwa mpaka ma KAY

1 Like