Tabia mbovu za Wakikuyu

-Madem kupenda pombe kuliko Baba zao.
-Kuita tusherehe hata mtoto akimaliza kindergarten
-Kukula nyama Kwa butchery ni kama dunia inaisha kesho
-Wanawake kujaza maji Kwa chakula ATI ni soup.

[ATTACH=full]448100[/ATTACH]

Kuweka Kila chakula waru na minji…

Mkipika fish stew, waru lazima

omena, waru lazima

Exactly

Kukulisha mtoi hadi ananona kama nguruwe obes

Especially wale wa town. Na wanapewa junk food

Plate moja kwa sherehe utawekewa all kinds of foods from rice,minji,njahi,cabbage,waru, beef na kando kuna drumstick ya kuku:D na bado kuna mokimo inakungoja na machapati kwa the same plate:D:D Did I forget something?:smiley: Ohh yes marination ni ya thufu inajazwa pia kwa that same gaddam plate

Then you diarrhoea for two days after overeating this stuff

Kupika chakula bila chumvi.

Si Unapenda Umama Elder!

Napenda kuma ya mamako mzee

Eeeeh. Thats an abomination. Why spoil good ol fish yawa

Pole bas. Wacha yaishe.

N

jeri lazima anakupikia takataka walai

She is a good cook. Mliringa mwaliko December last year :smiley:

:D:D:D I agree

Kejani ni Mimi nilikuwa na fix fish na omena. sa nilikuwa na enjoy mama watoto na namsho ataniwekea pili pili hoho aniharibie appetite :D:D

Hata Mimi ndio huwa naunda samaki na pork

Niliwachia wakikuyu mungu siku nilienda Uthiru nikaona msee na kibuyu ya maji ya 5 litres akiongeza supu kwa nyama quarter. Halafu kuna siku kule Engineer town tumewekelea tumbukiza kilo moja na tukaambia msee wa butchery aweke cabbage ya 50. He actually came back twice to confirm kama cabbage tulisema ya 50. Every time tulikuwa tunamfukuza na matusi tukimuuliza kwani masikio yake ni mbaya. Mama yangu. Kumbe huko cabbage moja full ni 5bob. Ustake jua.

Uncle ya @Wanaruona anakuanga butcher pale Nyandarua, must be him