So Jana nmeeenda rave nikakunywa over 3.5 karibu niingie mtungini ja paka wa Mombasa. Leo naamka na swollen lip and a shaking tooth, kwani jana kuliendaje? Is there any medicine for a swollen lip? Angalau iache kufura.
hakuna dawa. ngonga hiyo ingine zitoshane for aesthetics
Achana na dawa ya swollen lips, kwanza tafuta dawa ya kuacha pombe.
You should be icing it right now & apply robb ointment
Kimbia hospitali na uwache kusumbua na vile umeambiwa tafuta dawa ya kuwacha pombe,utaumia baadaye kama sisi.
Inaonekana umepitia mambo …uko sure hauhitaji hii pia
[ATTACH=full]67262[/ATTACH]
hehehehe acha tu nicheke, ulikua unakunywa nini kaka, usinywe kupindukia, barafu itakusaidia kiasi, pia hakikisha umekula vizuri kabla ya pombe, usijali lakini hata si hupatikana hapo maidhaa
some solution! peasant atatoa wapi ice?
Hehehehe :D:D:D. The madness in this village.
Sema ukweli…uko sure si butt lip imefura:D:D:D:D:D
Nani aliuma wewe ?
SCHUPDDDDDDDDD
yaonekana alinyemelewa na akina @IamsoGothIShitButts
U must have forced yourself into some guys chik and he gave u a miketyson knockout…hivyo ndivyo kulienda
kuja unigonge, saitan!
I can’t afford to, what abt the barley farmer, the processor, beer taster, bar owner, bartender…watatoa unga wapi?
peasant ni wewe, Kama nanywa kwani naeza kosa ice kweli? si afadhali ata nikimbie hapa Norway niokote juu wako winter!
kumbe nilishika tako la bibi yako? pole