help please. Niko na hii app mtu ajitolee kunisaidia kuitumia.
[ATTACH=full]73081[/ATTACH]
help please. Niko na hii app mtu ajitolee kunisaidia kuitumia.
[ATTACH=full]73081[/ATTACH]
Sijui kama hii itafanya kwa mediachieth. Enda pale kwa dialer yako, finya ##4636##, finya phone information, scroll hapo chini kwa set preferred network uone kama kuna 4g hapo. Kama hakuna rudishia mwenyewe hiyo mediachieth
KAMA SIMU IKO NA 4G MODERM ndani yake basi wachana na upuss za app enda kwa SAFARICOM upewe 4G SIMCARD. kama simu ilindwa bila 4G modem kwa hardware yake basi wacha kujisumbua na utumie hiyo 3G yako in peace
ladies hawana clue… did she think she could install 4g ama mm ndo cielewi
Na pia ujue 4G si ya mamako haiko kila mahali…confirm your location:D
haha…4g radio is a hardware thing not software.hahaha