Swara tokelezea

Swara @uwesmake now you can come out of your hibernation. Lakini game ya Senegal @old monk rudisha yeye detention hadi time tutakuwa time malizana na vijana wa Samori Toure.

Senegal si mchezo.

Hata Tz haikuwa mchezo ni maombi pia ya seneg tunakazi.

Wachawi wa TZ na wa senegal ni wagani wakali? [ATTACH]245075[/ATTACH]

Especially waki-combine na Swara…

akae huko siberia

Wasiingie mechi na inferiority complex