Swaffe

[ATTACH=full]452526[/ATTACH]

Niaje mwisi wa Kayole

Weka mbisha ikiiva tafasali.

Cancer ingredients. Try eating white meat + barley combination

Try marinating it with beer (white cap to be exact) next time.

Gaay

Nikaribie?

Or balozi , naona murder weapon hapo ,hii nyama ni ya poonder ama mzoga mugich @johntez addi gaza msafi ?

You got to learn to live a little .
What if you avoid red meat all your life and get hit by a meat van and die ? Life can be ironic.

Hi chocolate? Never tried Balozi. Next time I’m grilling nitajaribu.

@johntez addi gaza msafi , after kupiga mboka imeamua kurudishia mwili pole. Kweli Kijana ya Kayole anaishi poa.

Lakini, wapi kamrembo hivi wa kukukeep warm after upige hiyo drink?

:D:D it may be a punda ama zebra zenye @Motokubwa huuza.

Ushering in the weekend in style. Hiyo Red seal ni mambo yote.
Enjoy kaka.

cancer iko kwa processed meat ya wazungu yenye inakaa kwa mkebe 3 years bila kuoza

hii yetu ya kenya yenye unaambiwangwa urudi jioni ndio upate matumbo fresh inatoa steam iko sawa

Exactly… sisi huku tunakula vitu fresh

Jambazi kwa huyo mwenye hio simu hakuwa ameweka phone lock kwa gallery.

Hapa Kenya ni hii uchumi you are more likely to get cancer from your fuvked up genes than from food. Though I must admit we have a small section of Kenyans esp from central who eat lots of choma…the rest of us choma maybe inakam once a week…for me personally sipendi choma siku hizi

Maybe it’s lack of alternative cuisine or some attachment to it. I don’t understand it at all since its paired with a dry lump of ugali or mashed up cereals. If it’s not that it’s a mix of waru, spinach, bananas and a huge chunk of meat or boiled together to form a very thick paste.
We need to change our ways or perish

Nimechinga hii ndege sahizi let me dissect it.
[ATTACH=full]452677[/ATTACH]

Cancer is in the blood of dead animals that have been slaughtered. As the animal is dying, it releases a chemical component ( enzyme) into its blood. This is the carcinogen.

True