Surviving jaribio la wizi na biashara online...

So mnyama has been thinking of improving and expanding his medium sized mancave in one of the suburbs outskirts ya Nairobi. Niliangukia kadeal na pesa ikaingia so I added a small extension but the plan was to change the roof by putting new Mabati so that the cave looks inviting na vile Nairobi Kuna msimu wa baridi, in my sunset years I can relocate to the lowlands, lease it out ama nipatie kijana impatie headstart in life.
Since I had been disappointed by MRM niliingia online and got a number of a dealer anauza mabati that was a similar design to what I wanted. The phone was received by a soft spoken lady who after discussing and negotiating the price invited me to their factory on Mombasa road to see samples of their products.
Nikakimbia hadi factory nikaona mabati vile inatengenezwa we agreed on the pieces, color and length. The total came to about 230k, hapo akaniambia nitoe down payment ndio waanze kukata mabati. But then akkaniambia kuwa if I pay direct to the company paybill on the wall it would take time to reflect ndio waanze kukata mabati, so I pay to another to enable her process faster. The account had both the company and another name, this she said was easier to process. Moyo ukatulia I paid 130k with the understanding that thethey would start cutting and pressing. I would pick my mabati in two days.
I went home and waited for the call, two days, three days no update. I call her and ask what was happening, she said that apparently rules had changed I needed to clear the balance to have my order started on. I promptly sent the balance and told her to hurry up since the timber I had brought for the work ilikuwa inaharibika.
Two three more days hakuna update. Kupiga simu akkaniambia amepatoa watu wa production ningoje aniambie kesho yake. Next day no response.
I call her she says the production guy is on leave we give him two days. I realize that now this *itch is deflecting the responsibility. This goes on with mnyama being passed on to about three different people kila mtu anasema “eti uliambiwa nani ni wa production?huyo ni wa sales sio wa production!!!”
One day I wake up and realize pesa yangu inaweza kuwa imekunywa maji but really who eats mnyama’s sweat in this town?
I sit down and draw, I called my cousin for a drink and to craft a strategy. This is a huge guy with lots of dents and has lived his life in the ghetto but is quite bright. He calls the lady and pretends to want to buy mabati, he asks where they can meet to discuss or a site he can see so that he can make a decision. She agreed to meet on Mombasa road as usual.
The next day we are on Mombasa road uzuri his car is heavily tinted so unless uingie you can’t see how many occupants are inside. He calls and she picks enthusiastic that she is about to make a sale. Kabla nisahau, I have a curved panga that I scrub with sand… Very shiny and very sharp I put it under the seat.
She came and entered the car unaware that there was an extra person in the backsea. Hapo ndio nikamsalimia and reintroduced myself.
The shock and horror was evident. I calmly asked her what happened to my order. She started apologizing and crying that it was the system, the rolls in the factory were less hazingentosha the quantities I needed. I calmly removed the panga from under the seat and told her that pesa ya mnyama haikuliwi rahisi hivyo.
My cousin added that he is a killer for hire, he has known where she works, it won’t take a day to know where she lives and what she does. He will just need an ok to deliver her to an organ harvester auze kidney ajilipe na anilipe. Mwanamke alijikojolea and started crying some more…
Needless to say, in two days I had all my mabati and a very profuse apology and a follow-up call two days later to ask if they were ok.

Ungetomba…sadly umeangusha mafisi na kijiji in general

Hapo sawa.

Hehehe Kuna fala alijaribu kunirusha juzi imagine the shock on him nikikutana na yeye face to face busia border. Karibu ajiharie

Hiyo jangili ilikuwa dim eye, 2/10 haikuwa na shape. Ningetomba labda ingenifumba macho…

Just shows the rot in this country. Ni watu wangapi wameibiwa waka “achia mungu?” Nimeona complaints kadhaa za mabati kwa social media. Obviously wao hukula ata na DCI coz many people have reported na hakuna kitu inahappen. Halafu mtu akichinjwa na kutolewa macho watu wanaanza kuuliza “who could do such a heartless thing? Now her children will live without a mother.”

Ungetomba io gaidi ipate akili na iache kuchezea pesa ya wanaume

Must be Royal Mabati… Watu wamelia sana

Expose the company hapa we avoid it like plague, what a bunch of stupid mofos

Ni gani hii we avoid it in the future
Lakini hii ukora inakaa imejaa sana indaa, there’s time I needed some trunking hizi kubwa plus switch cabinets in bulk nikadecide niende a reputable company Sita mention coz some talkers nimeona wakisema wao humodify steel structures huko. Juu ilikuwa 2nd time kupata bish wa accounts akanipea namba yake nimtumie ndio ati aharakishe maneno atapersue personally na nikapewa day ya kuzipick. Kufika napata hakuna order kama hiyo nikampigia akaniambia ako na msiba ndio Hakam job nikaona huyu ni kama amefutwa. Nikamwambia pole lakini Nika insist anipee msee wa production ni deal na yeye niwe sorted. Akalenga hiyo stori akaniambia ningoje after atoke mazishi.
Niaulizia huko nikaskia ni relative wa wenye kampuni nikajua hapa sijaumia sana. Nikajiingiza hizo offices za wakubwa nikawaelezea vile kulienda uzuri kulikuwa na Mpesa transaction messages nikawaonyesha akapigiwa sim akasema ni ukweli. Kuficha aibu ya kunguru Yao nikapewa siku kadhaa zikuwe fabricated nikaridhika nikaenda home. Siku ya kuziendea after kendu one week ni kapata ziko Sawa tukaeka kwa gari tukaenda.
Kurudi tena after 3 months (Hao wasee hufine tune fabrications zako vile unataka bora uwapee measurements). Kutoka hivi kwa tuoffices tumeejificha huko ndani ni kapata the bisch imefichwa huko ndani kazi tu ni paperwork tukaangaliana ikainama nikajijazia labda alikuwa amefanya watu kadhaa hivyo ikafika kikomo.
Moral of the story is learn to follow due process kwa hizo kampuni ama alternatively engage services za local hardware hata afadhali uongeze mashilingi kadhaa

[MEDIA=twitter]1526765015423979520[/MEDIA]

i learned ukinunua mabati unachukua same day…if not, move to the next shop, prefereably ya muhindi, shiny eyes waamininki na hardware

Nunua kitu unaona.

Royal Mabati is total shit.
Took them two months to deliver mine.

Same story…production being given like 10 numbers

:D:D:D

Mabati has been sold in Kenya even before all of us here were born. Just like cement. If you can be conned over mabati, you can be conned over a bottle of Coca Cola sold at every kiosk in Kenya.

Kitambo nilikuwanga msee wa kuwachia mungu but after being friends with some mafia bar owner, nimejifunza kudeal na wakora sans involving the police. Kuna jamaa alinigonga story za power connection bado namtafuta akuwe example.