Super food.

Naskia ukikula hii hata mabibi wa majirani wote watatorokea kwako!
[ATTACH=full]238527[/ATTACH]

Mopane worms+ sorghum ugali

Wacha tu nikule kumbekumbe zangu[ATTACH=full]238529[/ATTACH]

Wewe ni purple sindio? Hio threat umenipea kwa hio thread ya miss cucu ati nitatumwa Siberia…

Everything is in the mind.

Yule mtu anaweza anzisha biashara ya kufuga hizi in a controlled environment for production all year round and then dry them into jerky meat and sell all over western atapata pesa mzuri.

Muweke spoilers bwanaaa!

Hata ingine tuletewe huku kawangware…tutalipa 1k gorogoro

Juzi juzi nimetembea bungoma nikapata hii.
Nilipimiwa hizo vikombe mbili nikajibamba nayo safari ya kurudi Nairobi
[ATTACH=full]238534[/ATTACH][ATTACH=full]238535[/ATTACH]

rink?

UN says that these are the foods of the future…thankfully nitakuwa nimejitoa. No way I could eat things with eyes on them…

Hujawahi kula omenas?

Naaaaaaaaaaaaaaaah! I find them objectionable…

Gross