vipi wanakijiji, sasa hapa watu wanasema ati kesho tukule miraa ndio tuweze kuona hiyo fight ya kesho, I’m not a fun of miraa due to its after effects, (it makes me think alot, knowing that Mayweather is going to win with a rig will make me not sleep for a better part of 24 hrs I will sacrifice for that day) anyway, sahi nimelewa lakini sio sana, mnaona aje hii story?
Weka picha ya veve ama hii ni hekaya
I tried chewing Miraa once due to peer pressure…It was the longest 2minutes of my life.
1 Like
What if one of them gets knocked down in the 1st or 2nd round, si you will wish afadhali ungelala tu?
kwni wewe ni mbuzi ndio ushinde na matawi mdomoni
Tema hayo mate… dugu
Ni swali tu, unataka tuanze na story gani? After effects za miraa ama hio bout ya Mayweather
Kush, ma after effects ndio noma kaka… kwanza za ketepa. inafanyanga roho yangu inapiga na nguvu sana
Ok my ndugu my two cents, cheki game kwanza then kalia ketepa. If problem persist seek advice from the village doctor. Ni hayo tu
thanks @kush yule mnono