Sunday afternoon cartoons

Who else enjoys these things like i do? Kama ya leo KTN iko poa sana. I am loving it.

So what are you guys upto this lovely afternoon?

Watching Narcos season 3.

3 Likes

Rewatching Wonder Woman ili nione what scenes were added which sikuona Imax

1 Like

Sunday afternoon Country. Makes me wish she was here with me…

1 Like

Rick and Morty uyu mzae ananibamba

5 Likes

nimetandika kijana mpakka hata mamake anakaa kulia, wacha nikakunywe legend

7 Likes

Amevunja sahani ya wageni?

hapana amevunja sahani ya kuwekelea @Ngimanene na nyeni

Mimi nakula Ngima nene na nyama na mala

Hio mala si ni maziwa imeharibika

Eeeh niliikamua Wednesday, imeharibika vizuri saaaaaaaaaana

Sawa General

Na mtoto akileta upuss tandika kabisaaaaaaaa ama aje @GeorginaMakena

violence begets violence.

Buda untandika kijana kichapo ya umbwa juu umepoteza rwabe ya legend baadaye unapata ukivaa socks juu ulisunda hapo kaa umetei. Nugu hii

1 Like

Buda siwezi chapa kijana juu ya pesa, namchapanga akikosea mamake sana ama akifanya kitu nimemkanya mara mingi

1 Like

Mimi sijawahi gusa wangu,si you know am modern like Mutula ? Punishment ni mob kiboko ni child abuse

Been indoors whole day watching Hurricane Irma bear down on Florida. It’s like watching an episode of Storm Chasers, am over awed by the destructive force of nature.

Family guy reruns, alternating with King of the hill… and ofcourse a little vodka hapo juu :slight_smile:

Who beats kids karibu aue in this era? Ground mjinga hadi aombe msamaha