Niko na budget ya 5-6k wadau… give me options on the best subwoofer kwa hio price range…yenye ikiimba you can’t tell the direction yenye sound inacome from…
Sanoya msee
Ampex ama sayona
Sayona ikichapa hulia kama drum imepasuka ya Legio Maria sect.Save pesa poa uchukue LG.Kuna yenye nilibuy 2011 bado iko as good as new volume ikifika 24 dirisha ya nyumba inavibrate almost kuvunjika.Niki watch mayo the matrx naskia bullet ikitoka nyuma yangu ikita across the sitting room ikipotelea kwa route ya corridor.
Ukitaka debe serious, tafuta Royal Sound followed by Sayona. Ampex ni umeffi tupu na ni expe
creative labs 5.1
Following
Hiyo pesa nunua Pioneer sub uhustle 2 months ubuy amplifier, another 2 months ununue mid ranges, 3 months ununue power supply… tingiza nyumba for 6 months ikianza kukubore anza kugoogle SVS , Klipsch … Wekelea kidney.
Jaza 23k uchukue sony home theatre…
Manze nilikuwa na JVC hi-fi system sometimes back. Kuna time nikiwatch movie ya The Thin Red Line ikiwa full volume neighbors walikuja kuulizia kama nimesikia sauti ya bomb Kwa plot