Strip Checkers (Draught) Who played this game ?

Leo ntajua watu wa rika
Am having a blast reminiscing right now
[ATTACH=full]122683[/ATTACH]

12 Likes

Nilikuwa nafika kwa hio mrussia wa pili, sikuwai pita hapo…

4 Likes

:D:D:DWalahi sikuwahi pita huyo wa pili pia

3 Likes

Mimi nilicheza ile ya mabuda, ile ya pekele za tusker Na pilsner.

7 Likes

Nilikua natoa uyo mrussia wa pili zote. Ana kuma na boobs za ukweli. Afu kuna yenye ninayo kwa simu hapa hua ina levels kadhaa… hua inanichapa ma RKO

4 Likes

:Dkuna moja ya android pia imenipiga masweep nikaamua kujibamba na hii ya kitambo

1 Like

Ungepata wazee serious ndio ulikuwa unacheki game ikishika moto sasa pekelee zinaokotwa alafu inachapishwa by force kwa next position, ama saa zile jamaa anauma tatu na kabuti inaelekea. Frustration used to be real:D:D:D

7 Likes

man, kabuti ilikua aibu

5 Likes

Iko seven levels nafika Master level second last inanichapa ma sweep mbaya! :smiley:
Wangeleta hawa stripper ikue tamu saidi!

4 Likes

:smiley: :smiley: zinagonganishwa chini kukupea tension. zikiwa moto ‘unapewa kijiti ya kusongea’ sizikuchome :smiley:

6 Likes

:D:D:D I used to play with them, mmoja as kikupiga kabuti alikuwa anasema ‘Fugu Muhogo’ never knew the meaning and never asked.
Hiyo ya
Hao madem used to be in Motorola phones never played it, but my roomie in campo used to love it.

3 Likes

back in high school tulikuwa tunaenda kwa comp room tukasafishe macho na hii game

After Master Level Ya mwisho iko locked alafu kuna button ya “Two Players” Hapo mwisho ?

1 Like

Why are you doeaking in the past tense. Kuja ATC uone mabuda wakiegeza mashangingi wacheze hiyo game…today.

3 Likes

Ohh man brings back good old memories

1 Like

yeah thats the game!

1 Like

ulikua unaumwa tatu unafeel nikama umenyanganywa kidney!!

2 Likes

Kwanza ‘fine’ then unaumwa kamoja… unazirai

Kucheza hii game kwa pc home security level ilikua kama ile ya kuwatch German porn za vhs

3 Likes

:D:D:Dall through high school

1 Like