Stranger than fiction

So leo nimekuwa na my major customer Mheshimiwa Atenya, pale level 7 na ameninunulia mzinga ya Jameson, Jameson to me is so smooth nakunywa on the rocks. Sasa nimeshangaaa nimemaliza 1 litre mzima peke yangu coz mama clichy was drinking wain. Body haitambui pombe ama nimeenda saidieni the first ever sponsor

Cc

Mluhya @Ice_Cube

Am so sober ama ni adrenaline imeingia ni protect bibi from wolves

Acha uwongo ango

:D:D:D ango dont drink and drive

Level7 Kuna jameson 3 kwa meza. Meza yako ni gani. Kuja hapa kwa Dj ACE upewe kitu

Pombe imenunuliwa
Mtu atakamuliwa

Ama ndio adrenaline imepanda

aJe chief?

Mluhya kuja ile ni one litre

Afadhali unikamue but si mama clichy

ndio uyo mimi

:D:D:D its 4 am bana.

Hakuna meza iko na 1l

washana na fombe ango,

safisha mecho na hii findeo.

https://www.youtube.com/watch?v=Tvnj_CsD1LY

@uwesmake nimekulola

Njoo twende kanisani

Your liver is fried

What did we say about being the first to comment on your own post??

Watered down drinks. If I give you a real Jameson, 6 shots you need help getting to the bathroom.

Hiyo inaitwanga product of Kariobangi light industries.

ni zile za mayakeke niliona siku ingine akiweka insane profit margins.