Nilikua na mchumba wangu, tulipendana kama nyama choma
alibahatika kwenda ngambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japani kusomea udakitari, Stella wangu ehhh.×2
Nilivyo mpenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja, Nikauza shamba langu, sababu yake yeye, nikauza gari langu, sababu yake yeye, nikauza Ng’ombe na mbuzi sababu yake yeye, ili apate nauli yake na pesa nyngine za matumizi kule Japani.
Ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano, ilikua tarehe kumi na saba mwezi wa tano,
Mwaka elfu moja tisamia tisaini na mbili, ndiyo lokua tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya, Nilikwenda uwanja wa ndege kwenda kumlaki Stella, nilikua na uncle Kilinda uwnaja wa ndege,
Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva,
Nilikua na ndugu Afisi mtoto wa Mombasa, ghafla ndege lipotua uwanajani nliona vituko.
Stella alishuka amebeba mtoto mikononi, nyuma yake mchumba wake mfupi, futii nee Mjaipani, Nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya Nilitamani nilie Kikamba lakini si kijui, ilibidii nilie Kijaluo" angatima ngo wauchoa", Freshley.
Nilitamani nilie Kiindi lakini si kijui, ikani bidii nilie Kitaita lugha ya mama na baba, ilini bidii nilie Kitaiata, “beke mwana niponyebanda, Freshley”.
Iyooo, yoo, yoo, yoo, I love you Stella mami×2
“Nilikua baziri mwa Kolomba na mkewe na watoto wake, nilikua uncle Mshomba wa mdundonyike tuveluva,— Freshley Mwamburi
Maybe you can identify with this dude. Lots of tough swahili words ahead!!!
https://www.jamiiforums.com/threads/nahisi-hili-jitu-linachukua-msichana-wangu.1249720/
karaoke ni Friday nights…
chieth
your take mboloo
Jana ndio ilikuwa siku ya Stella kutoka Japan…if you have to educate a bisch, she shud be a wife and ‘fugly as fukc’ just like ma cuz did…she wont go nowhere
What’s with this Stella song? Ok i know the song and remember it remaining at no 1 for a long time in SNS(Saturday Night Show) KBC, but zile fwd nilipata jana from almost all contacts and groups in whatsapp! There was nothing funny about it. So those planning to post more of such flat jokes, please spare us
This thing is old now… Ah… Getting tagged and having every late comer forwarding it on whatsapp… Ptho…