startimes

Wakubwa cable ya startimes mtaani imechapa. Ile chuma ilikuwa na aerial ilidunda aerial ikakatika. Naeza pata wapi cable ingine na mangapi??

saidieni manze sitaki kuhata iyo game ya Germany

Cable zinauzwa kitu kama 30ksh per metre.Tafuta kwa hizo maduka zinauza vyombo,radio,slippers hapo mtaani.Sijui zuitwa aje

[ATTACH=full]179063[/ATTACH]
You cannot be serious!! This question should be directed to your neighbour. …

Just ensure it’s an RG-6 cable.

Stolen:D:D

Lakini watu wengine ni kama akili zao zimeoza. Unaendaje kwa duka unatoa pesa yako…your hard earned cash halafu unasema “nipee startimes” lmao hi ni uchawi gani sasa??

Halafu unaenda unaiweka kwa sitting room mbele ya wegeni LMFAO

Halafu unanunua wire refu sana unaipitisha kwa milango na madirisha za majirani, 2hrs later wire imefika ju 12th floor unapigilia aerial kwa ukuta kidogo kidogo unateleza unakufa. All this because of startimes smh

ati form ni ku upgrade na startiiiimes.

na mna ujinga. hii stuff ilinunuliwa 2014 wakati wa digital migration.